Msaada wa kupata maduka ya jumla vyombo vya nyumbani

Kiasi87

Member
Joined
Jun 10, 2017
Posts
6
Reaction score
12
Habari za leo wadau.

Ninahitaji kufungua Duka la vyombo vya Nyumbani. hivyo naomba kwa yeyote anaefahamu Maduka yanayo uza vyombo kwa Jumla kwa Dar es salaam anielekeze.

Ukinitajia na Mitaa ilipo hayo maduka itapendeza Zaidi.

Asante.
 
Vyombo vya aina gani ? Plastic majagi, vyombo vya udongo glass?
 
Vyote hivyo ulivyovitaja
vyombo vyote plastic kuna kampuni inaitwa JAMBO iko nyerere road kabla ujafika Airpot. Au ukiona gari imeandikwa nembo ya JAMBO ukiwasimamisha ukawapa contact zako wanakuletea popote ulipo kama around coast area.
 
Asante
 
Back
Top Bottom