Vyombo vya aina gani ? Plastic majagi, vyombo vya udongo glass?Habari za leo wadau.
Ninahitaji kufungua Duka la vyombo vya Nyumbani. hivyo naomba kwa yeyote anaefahamu Maduka yanayo uza vyombo kwa Jumla kwa Dar es salaam anielekeze.
Ukinitajia na Mitaa ilipo hayo maduka itapendeza Zaidi.
Asante.
Vyote hivyo ulivyovitajaVyombo vya aina gani ? Plastic majagi, vyombo vya udongo glass?
vyombo vyote plastic kuna kampuni inaitwa JAMBO iko nyerere road kabla ujafika Airpot. Au ukiona gari imeandikwa nembo ya JAMBO ukiwasimamisha ukawapa contact zako wanakuletea popote ulipo kama around coast area.Vyote hivyo ulivyovitaja
Asantevyombo vyote plastic kuna kampuni inaitwa JAMBO iko nyerere road kabla ujafika Airpot. Au ukiona gari imeandikwa nembo ya JAMBO ukiwasimamisha ukawapa contact zako wanakuletea popote ulipo kama around coast area.