Msaada wa kupata mafao ya PSPF

Blaszczykowski

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2022
Posts
310
Reaction score
1,100
Jamani maisha magumu na akiba haiyeyuki kirahisi, Nilifanya kazi sehemu moja ni private kama 5 yrs ago so sikuwahi fatilia mafao yangu sasa baada ya jua kali la DSM nikaona nipitie nichungulie kama mzigo upo Mungu mkubwa mzigo niliukuta full.

Sasa nikaulizia process gani nifate ili niweze kupata stahiki zangu.😭 Nikachoka campuny ilishakufaga muda sana baadhi ya docment ni ngumu kupata.

Mwenye uwezo wa kunisaidia AJE PM TUTAISHI KIBOSI NARUDIA TUTAISHI KIBOSI.

LOCATION DSM
 
Mm yangu nilipata ila inahitaji uvumilivu sana
 
Acha uvivu taratibu zipo wazi zifuate utapata pesa Yako.
 
Hakuna pspf siku hizi Kuna psssf
 
Mkuu njoo inbox nikupe mbinu za kutoa mafao yako... njia nilitumia mm hauto toa mia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…