Blaszczykowski
JF-Expert Member
- Dec 20, 2022
- 310
- 1,100
Jamani maisha magumu na akiba haiyeyuki kirahisi, Nilifanya kazi sehemu moja ni private kama 5 yrs ago so sikuwahi fatilia mafao yangu sasa baada ya jua kali la DSM nikaona nipitie nichungulie kama mzigo upo Mungu mkubwa mzigo niliukuta full.
Sasa nikaulizia process gani nifate ili niweze kupata stahiki zangu.😭 Nikachoka campuny ilishakufaga muda sana baadhi ya docment ni ngumu kupata.
Mwenye uwezo wa kunisaidia AJE PM TUTAISHI KIBOSI NARUDIA TUTAISHI KIBOSI.
LOCATION DSM