Msaada wa kupata mafuta ya kutengeneza sabuni za miche kwabgharama nafuu

Msaada wa kupata mafuta ya kutengeneza sabuni za miche kwabgharama nafuu

man B'

Member
Joined
Aug 17, 2014
Posts
71
Reaction score
95
Wakuu kichwa habari kinasomeka, nimeamua kujikwamua kwa kuanza kutengeza sabuni za miche, changamoto kuu nayoipitia ni upatikanaji kwa malighafii hii kwa gharama kubwa hasa ya mafuta.

Kiasi kwamba faida nashindwa kuipata kabisa.

Msaada kwa yeyote mwenye kufahamu wapi naweza kupata mafuta haya kwa gharama nafuu iwe ya kutoka nje au ndani ya Nchi.

Karibuni ndugu kwa msaada.
 
Kwenye maduka ya wajasiria mali.
 
Hii biashara changamoto yake huwa ni kwenye mafuta, yanakuwa yanapatikana kwa bei ya juu; kupata faida ni changamoto.
 
Hiyo ndio bei yake sehemu nyingi, ata mawese ni hivyo hivyo; kama utapenda kutumia mbadala kama maweze labda uagize kigoma unaweza kupata kwa bei nafuu.
Hii biashara itakua ngumu kwangu, ukilinganisha na bei iliyopo sokoni inakatisha tamaaa
 
Msimu wa Mawese umekwisha kwa sasa hivyo mafuta lazima yapande bei
 
Back
Top Bottom