HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Hutakiwi subiri msimu uishe, watakiwa uangalie uzalishaji wakp, mahitaji yako kisha ujipange kwa kuweka stock ya PO, PKOHapa itabid kusubir msimu wa mawese
Msimu huanza October hadi April
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hutakiwi subiri msimu uishe, watakiwa uangalie uzalishaji wakp, mahitaji yako kisha ujipange kwa kuweka stock ya PO, PKOHapa itabid kusubir msimu wa mawese
Bei sio mbaya, na biashara yako umeifanya kuwa ''official'' yaani full documentation?Nauza Tsh 2500
Mkuu habari.wakuu kichwa habari kinasomeka, nimeamua kujikwamua kwa kuanza kutengeza sabuni za miche, changamoto kuu nayoipitia ni upatikanaji kwa malighafii hii kwa gharama kubwa hasa ya mafuta.
Kiasi kwamba faida nashindwa kuipata kabisa.
Msaada kwayeyote mwenye kufahamu wapi naweza kupata mafuta haya kwa gharama nafuu iwe ya kutoka nje au ndani ya Nchi.
Karibuni ndugu kwa msaada.
Ila mbona Mawese kwa sasa unapata kwa 60,000?Hapo umenena mkuu nalifanyia kazi
Mkuuu naomba hii connection kupata haya mafuta used kutoka nje ili niweze kufanya ivoMkuu habari.
Kama unaweza(na umesema ndani au nje ya nchi),
1. Agiza mafuta ya kupikia yaliyotumika, wanaita "Used Cooking Oil (UCO)". Ukiagiza kutoka nje nahisi yanakuja yameshachujwa tayari.
AU
2. Unaweza pitia katika migahawa mikubwa na mahotel, ukaweka oda ya mafuta yaliyotumika, wewe unayachuja na kutumia katika shughuli yako/zako.
Ukiingia huko ndio faida hutoiona kabisa hasa kwa wajasiriamali wadogo; bora ubaki kwa level ya sido tu; huku watu wa mazingira, kodi n.k watakuyumbisha sana, na kama sasa hujakamilisha hivyo vitu na faida huioni; ukija ukikamilisha ni full kuendesha biashara kwa (-)Bado sijaisajili ndo karibuni nafanya usajili ili niwe huru
Mkuu, connection nitakudanganya tu.Mkuuu naomba hii connection kupata haya mafuta used kutoka nje ili niweze kufanya ivo
Ahsanteh ndugu kwa ushaurii huu kumbe nilikua naenda kujizika kabisaa MUNGU akubarikiUkiingia huko ndio faida hutoiona kabisa hasa kwa wajasiriamali wadogo; bora ubaki kwa level ya sido tu; huku watu wa mazingira, kodi n.k watakuyumbisha sana, na kama sasa hujakamilisha hivyo vitu na faida huioni; ukija ukikamilisha ni full kuendesha biashara kwa (-)
Kama mafuta used yanafaa, basi hata mafuta ya kitimoto yanafaaSijawahi tumia sijui kama yanafaa
Ahsanteh ngoja nifuatilie umenipa wazo la kulifanyia kazi barikiwa sanaMkuu, connection nitakudanganya tu.
Jaribu kuanza hapa hapa Tanzania mkuu. Ukiweza na kutaka kukua zaidi, itabidi ufanye uchunguzi kule china, maana nilisoma juzi kati hapa kwamba wao ni moja wazalishaji na wasafirishaji wa mafuta yaliyotumika ya kupikia.
Kanda ya kati.Karibu mkuu ila nipo kanda ya Kati, nitashkuru kushare na ww
Uko mbali, nilitaka tujadili namna ya kuwekeza nguvu, tuongeze uzalishajiKaribu mkuu ila nipo kanda ya Kati, nitashkuru kushare na ww