Kwa maduka ya huko yanauzwaje kwa lita?Kabisa, je tunawezajeee kupata kwa bei nafuu?
Hiyo ndio bei yake sehemu nyingi, ata mawese ni hivyo hivyo; kama utapenda kutumia mbadala kama maweze labda uagize kigoma unaweza kupata kwa bei nafuu.Litre 1 Tsh 4000
Kwa kukadiria, lita inakupa miche mingapi?Hii biashara itakua ngumu kwangu, ukilinganisha na bei iliyopo sokoni inakatisha tamaaa
Mbona naona faida ipo hapo, tatizo linakuwa wapi sasa?Miche kama 36 yenye ukubwa kama JAMAA
Bei ya mche huwa unauza bei gani?Ukijumuisha na vtu vingine ili ikamilike sabuni faida ipo kiduchu hasa ukiingia kwenye soko ambapo wengine wamelikamata tayari