Msaada wa kupata mawasiliano ya msanii Juma Kassim 'Nature'

Msaada wa kupata mawasiliano ya msanii Juma Kassim 'Nature'

HISTAMINE

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2014
Posts
477
Reaction score
1,135
Kama kichwa kinavyojieleza, naomba mni-pm mawasiliano ya J. Nature kwaajili ya shida binafsi. Zaidi ya yote ni moja ya wasanii wakongwe ninao wakubali sana.
 
Mtafute Instagram,facebook au kwenye social media zingine,humo utampata tu,

Hii ndio njia rahisi zaidi.
 
Usisumbuke Sana mkuu, we njoo hapa dar live siku ya j'mos au j2 mbagala zakhem......uwe tu na mtonyo wa kula vyombo kwani huwez kuongea nae vizuri kama haugongi vyombo.....
 
Mkuu kama uko dar panda gari za mbagala shuka zakhiem,ukishuka nenda upande wa dar live waambie wakupeleke MABANDA GUEST HOUSE kwa matembo ukifika pale mabanda ulizia kwa Nature ni jirani na hiyo guest.
Ukishindwa nakufanyia mchakato wote kwa 5k
Nashukuru nikishindwa ntakucheki
 
Mkuu kama uko dar panda gari za mbagala shuka zakhiem,ukishuka nenda upande wa dar live waambie wakupeleke MABANDA GUEST HOUSE kwa matembo ukifika pale mabanda ulizia kwa Nature ni jirani na hiyo guest.
Ukishindwa nakufanyia mchakato wote kwa 5k
Zingatia ili mtoa mada. Uzingatie haswaaa.

Au afike mitaa ya Evo hill lodge aulizie kwa Mwenyekiti 'Kassim , yule Kassim namba za Nature anazo
 
Nenda maskani moja ya bangi kurasini inaitwa taifa B masela watakupa nambake.
 
Back
Top Bottom