Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina shamba langu la miti kama 700 ambayo ina umri Wa miaka 6 naweza kuchukuwa kiasi gani cha mkopo kutoka crbd bank naomba kujuzwa utaratibu ukoje ili uweze kukopa
300,000/=mkuuHapana mkuu akili iko timamu hilo shamba lipo sasa nataka kujua utaratibu ukoje na naweza pata shingap ni eka moja na nusu
Bosi shamba lako liko wapi,lina miti gani, lina document gani ya umiliki,na unahitaji kiasi gani!? Nicheki kwa namba 0762576878Nina shamba langu la miti kama 700 ambayo ina umri Wa miaka 6 naweza kuchukuwa kiasi gani cha mkopo kutoka crbd bank naomba kujuzwa utaratibu ukoje ili uweze kukopa