Msaada wa kupata mkopo wa biashara.

Msaada wa kupata mkopo wa biashara.

Mi pia nataka mkopo dhamana kadi ya gari langu la thamani 12mil
 
poleni sana kwa kuhangaika kutafuta mkopo nchi yetu ni mahali pagumu sana kupata mkopo ila msikate tamaa wewe mwenye gari nenda stanbic bank hapo kidogo wanaweza kukuelewa
 
Mkuu kwanza nakupongeza sana pamoja sina sifa ya kupata mkopo pokea shukrani zangu mimi nasimamia gari ya mtu yuko nje (semitrallers) nilikuwa natafuta mkopo 75M niweze kununua ya kwangu sasa sina dhamana ya aina yoyote ila nina uhakika wa mzigo $8000
 
Back
Top Bottom