Msaada wa kupata mkopo

lats

Member
Joined
Nov 29, 2013
Posts
41
Reaction score
6
Habari zenu wapendwa.

Jaman mwenzenu nahitaji mkopo wa sh.mil 2 nifungue biashara.

Mwenye kujua wapi naweza kuposhwe anisaidie please

Nawasilisha.
 
Ungefunguka hiyo pesa udhamini wake nini? ila nikutahadharishe tu biashara ni zaidi ya mtaji.
 
How?naomba unieleweshe hapo ndugu yangu
 
How?naomba unieleweshe hapo ndugu yangu

Inategemea lakini matarajio uliyonayo kabla ya kuwa na pesa ni tofauti sana na uhalisia, unapopata pesa na kuwa field. just be on the ground n u'll understand what i mean.
 
Una biashara japo ndogo?waone finca,watakusaidia

finca!!!usimshaur.bora mabank mengne.ndugu yangu ana mzgo kias kutokana na biashara yake kushuka.wamemtembelea na kla ktu kapeleka.mwsho wa sku.afsa mkopo ana mwambia management imekataa,ksa mzgo mdogo.na n mzgo wa cret kama 50 hv za soda... kama s chuk n nn?nn maana ya mkopo,watu.wajiinue.sasa nw days mkopo n kama kuwaongezea wenye nacho na wasio nacho wakose..mxiuuuui?nenda crdb kama una hat ya mal isyo hamishka.
 
Kama hauna mali kama card ya gari au hati ya nyumba au kiwanja mkopo ni ngumu kupata... Mi nimehangaika kutafuta mkopo ili nikuze biashara ya kuku...wakaniambia wakifa kwa ugonjwa ela utairudishaje nikabaki natoa mimacho tu....Kiukweli mkopo kwa Sasa haina uhalisia wa kumsaidia asiye nacho Bali kwa wale walionacho wafanyakazi na wengineo
 
Habari zenu wapendwa.

Jaman mwenzenu nahitaji mkopo wa sh.mil 2 nifungue biashara.

Mwenye kujua wapi naweza kuposhwe anisaidie please

Nawasilisha.

call me if u are serious 0714064767
 

You must be creative guys.......sasa huna jinsi ya kulipa kama anything strike your business.....lengo la benki sio kufilisi!
 
Kwa haraka haraka tu.....mtu huyu ana qualify mkopo wa kuanzia 500,000 and above...kwa wale wanaotoa business loans!
Sijui labda kuna vigezo vya ziada alikosa sababu watanzania pia ni walaghai sana that's why.....banks are very careful with them.
 
But ifahamike kuwa bank hazina fair terms and conditions to benefits small enterprises self based employment
 
Thus it is hard to deal with the poor and beginners in this arena of business...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…