Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
How?naomba unieleweshe hapo ndugu yangu
Una biashara japo ndogo?waone finca,watakusaidia
Habari zenu wapendwa.
Jaman mwenzenu nahitaji mkopo wa sh.mil 2 nifungue biashara.
Mwenye kujua wapi naweza kuposhwe anisaidie please
Nawasilisha.
Kama hauna mali kama card ya gari au hati ya nyumba au kiwanja mkopo ni ngumu kupata... Mi nimehangaika kutafuta mkopo ili nikuze biashara ya kuku...wakaniambia wakifa kwa ugonjwa ela utairudishaje nikabaki natoa mimacho tu....Kiukweli mkopo kwa Sasa haina uhalisia wa kumsaidia asiye nacho Bali kwa wale walionacho wafanyakazi na wengineo
Kwa haraka haraka tu.....mtu huyu ana qualify mkopo wa kuanzia 500,000 and above...kwa wale wanaotoa business loans!finca!!!usimshaur.bora mabank mengne.ndugu yangu ana mzgo kias kutokana na biashara yake kushuka.wamemtembelea na kla ktu kapeleka.mwsho wa sku.afsa mkopo ana mwambia management imekataa,ksa mzgo mdogo.na n mzgo wa cret kama 50 hv za soda... kama s chuk n nn?nn maana ya mkopo,watu.wajiinue.sasa nw days mkopo n kama kuwaongezea wenye nacho na wasio nacho wakose..mxiuuuui?nenda crdb kama una hat ya mal isyo hamishka.
but ifahamike kuwa bank hazina fair terms and conditions to benefits small enterprises self based employment