Msaada wa kupata nafsi st mary mazinde juu au kifungilo

Msaada wa kupata nafsi st mary mazinde juu au kifungilo

Mwana Mnyonge

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2011
Posts
518
Reaction score
451
Wadau naweza kupata msaada kijana wangu amechelewa kufanya interview kwenye hizo shule naweza pata msaada ili aweze kuingia kati ya hizo shule mbili au seminar yeyote au shule zuri ya wasichana kwa masomo ya science amepata div 1.16 akiwa na amefaulu kiwango cha B kwa masomo ya chemistry,math,physics and biology,msaada wa ndugu
 
Back
Top Bottom