Msaada wa kupata nyumba ya kupanga NHC Dar es Salaam

Joined
May 22, 2017
Posts
74
Reaction score
33
Habari wanaJamiiForums,

Naomba msaada wa kusaidiwa kupata nyumba ya kupanga za NHC Dar es salaam eneo laweza kuwa Ubungo Shekilango au eneo lolote ambalo litanirahishia kufika hospitali ya muhimbili kwa urahisi kwani kwa sasa nauguza Mgonjwa ambaye anilazimu kumpeleka kwenye session muhimbili Mara 3 kwa wiki. Kutokana na sababu hii gharama zimekuwa juu kiasi kwamba kukosa kumpeleka baadhi ya session.

Kwa msaada, maelekezo au taarifa yoyote ambayo Tanesha kupata nyumba ya NHC.Mawasiliano yangu

Namba:0655428658/0783262125
 
mm

nyumba nyingi zimejaa ila kuna dadaangu ana hama kikazi alikua ana tafuta mtu amuachie ila kwa gharama ya sh mil 4
 
na kwa gharama hizo ni bora utafute nyumba ya kupanga ya kawaida hata sinza huko ila nyumba za nhc bila hela uwezi kupata kupangishwa na wao lazima uandae milion kadhaa ndio upate wakati iyo milion yako kadhaa ushalipa kodi yako ya miez 6 na chenchi inabaki… ila if you’re interested nicheki pm nikuunge nae
 
Sawa mkuu nakucheki
 
Back
Top Bottom