Msaada wa kupata sabwoofer bora kwa matumizi ya nyumbani

monotheist

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
830
Reaction score
1,449
Nilishawahi kutumia sabwoofer ya boss ikazingiua baada ya miezi 3 nikanunua sean piano nayo baada ya miezi sita yaleyale uwezo wa kununua home theater sina je naweza nunua sabwoofer gani ambayo inaweza kudumu hata miaka miwili bila tatizo
 
Kwa sasa watu wanahama kutoka Subwoofer kwenda Soundbar..

Japo sound bar ni bei juu kidogo lakini itafaa na ni ya kisasa zaidi ya Subwfr
 
Sijawahi tumia saund bar mkuu hebu nipe sifa zake
 
Nilishawahi kutumia sabwoofer ya boss ikazingiua baada ya miezi 3 nikanunua sean piano nayo baada ya miezi sita yaleyale uwezo wa kununua home theater sina je naweza nunua sabwoofer gani ambayo inaweza kudumu hata miaka miwili bila tatizo
Tafuta JBL.
 
Back
Top Bottom