Msaada wa kupata sabwoofer bora kwa matumizi ya nyumbani

Msaada wa kupata sabwoofer bora kwa matumizi ya nyumbani

Nilishawahi kutumia sabwoofer ya boss ikazingiua baada ya miezi 3 nikanunua sean piano nayo baada ya miezi sita yaleyale uwezo wa kununua home theater sina je naweza nunua sabwoofer gani ambayo inaweza kudumu hata miaka miwili bila tatizo
Tafuta muziki wa Yamaha, Pioneer, JBL, Sony au LG hakikisha tu ni Original na bei yake yamoto inabidi ujipange haswa ila ukinunua ndo mkataba huo.. tofauti na hapo utanunua makelele kama ya virabu vya pombe za kienyeji.
 
Hapa vipi wajuvi
Screenshot_2023-12-08-11-02-50-549-edit_com.instagram.android.jpg
 
Back
Top Bottom