Msaada wa kupata sehemu nitakayopata mkopo

Msaada wa kupata sehemu nitakayopata mkopo

botafongo jr

Senior Member
Joined
Aug 13, 2013
Posts
107
Reaction score
17
Mimi ni kijana ambaye ninasoma chuo kikuu kwa sasa nilikuwa nahitaji mkopo wa Tsh 4ml kwa ajili ya mtaji wa biashara ambayo nimeibuni. Sasa tatizo sina kitu ambacho namiliki kwaajili ya kuviweka kama dhamana ili nipate mkopo huo.

Nilikuwa naomba kama kuna mtu yoyote anafahamu ni wapi nitaweza kupata mkopo ambapo hawana masharti magumu ili niweze kupata mkopo huo mimi nipo tayari ata kuviweka vyeti vyangu vya shule kama dhamana.

Asanteni
 
iseme ni biashara gani ili mtoa mkopo aone kama hutaangukia pua ili afanye maamuzi ya kukupa au,
 
botafongo jr

Dhamana ya cheti wala haina nguvu kwenye taasisi za mikopo kwani ikitokea umeshindwa kulipa mkopo huo cheti chako watakiuza wapi??,vyeti havina market kabisa na sio dhamana.Elimu iliyopo kichwani mwako itumie kupambana na mazingira ya kimaisha unayokutana nao na sio kutumia makaratasi{vyeti}
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom