botafongo jr
Senior Member
- Aug 13, 2013
- 107
- 17
Mimi ni kijana ambaye ninasoma chuo kikuu kwa sasa nilikuwa nahitaji mkopo wa Tsh 4ml kwa ajili ya mtaji wa biashara ambayo nimeibuni. Sasa tatizo sina kitu ambacho namiliki kwaajili ya kuviweka kama dhamana ili nipate mkopo huo.
Nilikuwa naomba kama kuna mtu yoyote anafahamu ni wapi nitaweza kupata mkopo ambapo hawana masharti magumu ili niweze kupata mkopo huo mimi nipo tayari ata kuviweka vyeti vyangu vya shule kama dhamana.
Asanteni