Msaada wa kupata soko la Upupu (Velvet Beans), au Mucuna

Msaada wa kupata soko la Upupu (Velvet Beans), au Mucuna

Mr Mhando

Member
Joined
Nov 2, 2018
Posts
17
Reaction score
20
Habarini za muda huu naombeni mawazovyenu nimelima upupu au velvet beans naombeni msaada wa soko, black Velvet ipo ya kutosha zaidi ya tani kumi, nahitaji wanunuzi

=========

Mucuna.jpg

Mucuna 2.jpg
 
Sinto shangaa vijana wa .com wakikuuliza kama zinaliwa...😜
Ila umenikumbusha mbali sana mkuu..
 
Inshu upishi wake mzee hapo ukibugi umekula sumu ,goma linahitaji upishi wa umakini na si chini ya masaa6 ,hua nawashangaa sana watu wanaula huo bila wasiwasi.
Kusini kuna mda debe linafika hadi40k
 
Wakuu upupu unatumikaje kwani? Ni mboga? Kijijini kwetu hautumiki popote nisije nikawa nakosa fursa
 
Back
Top Bottom