Yan upupu huu unaowasha auHabarini za muda huu naombeni mawazovyenu nimelima upupu au velvet beans naombeni msaada wa soko, black Velvet ipo ya kutosha zaidi ya tani kumi, nahitaji wanunuzi 0714671117
=========
View attachment 2957534
View attachment 2957536
Upo kijiji gani mkuu nauhitaji kwa ajili ya kutengenezea maji washawasha nidhibiti vibakaWakuu upupu unatumikaje kwani? Ni mboga? Kijijini kwetu hautumiki popote nisije nikawa nakosa fursa