MAENE
Senior Member
- Jan 7, 2011
- 116
- 22
Habari!
Nina shahada ya uhasibu, kwa sasa nahitaji kufanya kazi kwa kujitolea bila mshahara ili nipate uzoefu wa kazi kwa taaluma ya uhasibu,kuliko kupoteza muda bila kuongeza chochote katika cv yangu ,naamini jf kuna watu mbalimbali wenye uwezo wa kunisaidia katika hili.ninaishi dar.ila naomba niwe muwazi kwamba nitahitaji kusaidiwa nauli ya kila siku ya kutoka nyumbani hadi kazini.
Natanguliza shukrani naamini nitapata msaada.