Msaada wa kupata uzoefu wa kazi

Msaada wa kupata uzoefu wa kazi

MAENE

Senior Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
116
Reaction score
22
Habari!

Nina shahada ya uhasibu, kwa sasa nahitaji kufanya kazi kwa kujitolea bila mshahara ili nipate uzoefu wa kazi kwa taaluma ya uhasibu,kuliko kupoteza muda bila kuongeza chochote katika cv yangu ,naamini jf kuna watu mbalimbali wenye uwezo wa kunisaidia katika hili.ninaishi dar.ila naomba niwe muwazi kwamba nitahitaji kusaidiwa nauli ya kila siku ya kutoka nyumbani hadi kazini.
Natanguliza shukrani naamini nitapata msaada.
 
nakushauri fanya Maombi sana kwani soko letu la ajira linasumbua sana, halafu fanya maombi uwezavyo hususani hardcopy otherwise instructed online, ***usichoke mpaka upate*** Fanya application sehemu zote hata kama hawajatoa nafasi*****Jitahidi kutengeneza CV kiasi kwamba anayeisoma akiiona inam impress, Jitahidi kutengeneza network na wafanyakazi wa kampuni mbalimbali ili kama kuna nafasi ya kazi, field au intern uwe wa kwanza kupigiwa au kupewa nafasi....hivyo ndivyo system ilivyo Haya ninayoyasema nina uzoefu nayo.
MUNGU AKUPIGANIE UFANIKIWE
 
Amen mpendwa
 
MUNGU AKUPIGANIE UFANIKIWE[/QUOTE

nashukuru kwa ushauri wako ,nimejitahidi sana kwa yote uliyosema ila mpaka sasa hivi sijafanikiwa toka nigraduate sio chini ya miaka mitatu sasa ,naamini siku yangu ipo tu, sijakata tamaa naendelea kupambana mpaka nifanikiwe.
 
Mungu atawaongoza wadau wa JF Na utapata msaada uo so soon.

Habari!

Nina shahada ya uhasibu, kwa sasa nahitaji kufanya kazi kwa kujitolea bila mshahara ili nipate uzoefu wa kazi kwa taaluma ya uhasibu,kuliko kupoteza muda bila kuongeza chochote katika cv yangu ,naamini jf kuna watu mbalimbali wenye uwezo wa kunisaidia katika hili.ninaishi dar.ila naomba niwe muwazi kwamba nitahitaji kusaidiwa nauli ya kila siku ya kutoka nyumbani hadi kazini.
Natanguliza shukrani naamini nitapata msaada.
 
Mungu atawaongoza wadau wa JF Na utapata msaada uo so soon.

Amen,barikiwa kwa kunipa moyo,nami naamini nitapata soon!
 
Back
Top Bottom