Msaada wa kupata uzoefu wa kazi

MAENE

Senior Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
116
Reaction score
22
Habari!

Nina shahada ya uhasibu, kwa sasa nahitaji kufanya kazi kwa kujitolea bila mshahara ili nipate uzoefu wa kazi kwa taaluma ya uhasibu,kuliko kupoteza muda bila kuongeza chochote katika cv yangu ,naamini jf kuna watu mbalimbali wenye uwezo wa kunisaidia katika hili.ninaishi dar.ila naomba niwe muwazi kwamba nitahitaji kusaidiwa nauli ya kila siku ya kutoka nyumbani hadi kazini.
Natanguliza shukrani naamini nitapata msaada.
 

nakushauri fanya Maombi sana kwani soko letu la ajira linasumbua sana, halafu fanya maombi uwezavyo hususani hardcopy otherwise instructed online, ***usichoke mpaka upate*** Fanya application sehemu zote hata kama hawajatoa nafasi*****Jitahidi kutengeneza CV kiasi kwamba anayeisoma akiiona inam impress, Jitahidi kutengeneza network na wafanyakazi wa kampuni mbalimbali ili kama kuna nafasi ya kazi, field au intern uwe wa kwanza kupigiwa au kupewa nafasi....hivyo ndivyo system ilivyo Haya ninayoyasema nina uzoefu nayo.
MUNGU AKUPIGANIE UFANIKIWE
 

Amen mpendwa
 
 
 
Mungu atawaongoza wadau wa JF Na utapata msaada uo so soon.

 
Mungu atawaongoza wadau wa JF Na utapata msaada uo so soon.

Amen,barikiwa kwa kunipa moyo,nami naamini nitapata soon!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…