Habari zenu wana jamvi.
Mimi ni mtafiti katika chuo cha kilimo. Ninaomba msaada kwa suala lifuatalo;
Kwa mkulima yeyote wa zao la choroko au kunde ambazo zimebunguliwa (kutobolewa) zikiwa pamoja na wadudu maarufu kama bungua (wawe wengi kidogo) kama wanavyo onekana kwenye picha chini.
Wadudu hawa wanafanana sana na wale wanaobungua maharagwe ijapokuwa ni tofauti kidogo hivyo nina uhitaji wa wale walioko kwenye choroko au kunde.
Lengo ni kupata idadi kubwa ya wadudu hao(bungua) kwa ajili ya utafiti wa kilimo. Hivyo kwa mkulima yeyote mwenye choroko au kunde zilizobunguliwa kwa kias cha kilo 1 mpaka kilo 4 ninaomba tuwasiliane DM.
N.B: Nitanunua kwa bei tutakayoelewana. Ninapatikana Dar es Salaam.