Msaada wa kupata wafadhili

Manyinyi 1

New Member
Joined
Mar 21, 2018
Posts
1
Reaction score
1
Habari za leo ndugu zangu,

Mwenzenu naomba ushauri na njia ya kupata wafadhili mimi ni muandaaji wa filamu za hapa Kwetu kupitia mawazo ya watu niliamua kusajili kampuni kwa lengo la kufanya uandaaji na usambazaji wa filamu na hii ni baada ya kufanya utafiti nchi nzima kuanzia Wilaya mpaka mkoa nikarudi sasa kujiandaa nikitegemea nifanye filamu nne 4 nikauze alafu nijiweke wazi ni pate vijana wakushirikiana nao yaani wasio na ajira na wenye utalaamu pia soko lipo na watu wanapenda sana filamu zetu kwakuwa nazingatia ubora wa kazi pia na wakati tuliliopo watu wanataka nini,

Lakini Hali ikabadirika upande wa wasambazaji ila sijakata tamaa kwakuwa kampuni ipo Ombi langu nikaona niwashirikishe huenda mkanisaidia kupanuana mawazo nikapata wawekezaji kwani sijabadili mawazo kwakuwa Utafiti wangu nikaona ninamna gani sanaa inalipa kwakuwa haihitaji mchezo nanikabaini Tanzania ina wasanii wengi sana tusipoingiza mambo mengine.

Sawa wadau nasubiria mawazo Endelevu Asanteni.
 
Mkuu wafadhili hufadhili shughuri za kijamii. Kama unatengenreza profiti unapaswa kutafuta watu mfanye nao kazi.

Ila from no where bila mtu kufaidika akufadhili sio rahisi.

Unapaswa kuandaa mpango mkakati na kushawisi watu waingize pesa zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…