Msaada wa kurudisha email kwa malipo

Msaada wa kurudisha email kwa malipo

Wakati unaitengeneza ulitumia alternative email incase hii ukipata matatizo?
 
Hapana. Hii nlikuwa naingia vizuri tu shida nlibadili simu sasa kila nikitaka kuingia inaniambia too many attempts fail
 
Hapana shida ni kila nikitaka kuingia inakataa naambiwa too many attempts fail
 
Email hipo me naishia hapo
Screenshot_2024-08-28-14-25-32-740_com.google.android.gms.jpg
 
Back
Top Bottom