LANDLORD123
New Member
- Sep 6, 2023
- 2
- 0
Shida ya unakuta mtu mwingine kaweka recovery phone number ambayo alipopoteza hakuhangaika kurenew, mwaka wa kuzaliwa tarehe na mwezi alijiwekea tu na kasahau hapo inakuwa ngumu kujiridhisha.Inawezekana Ila nafahamu kwenye Gmail tu kwa sababu ishawahi kunitokea kwenye account yangu miaka 8 iliyopita Ila inachukua mda mpaka waifungue wajiridhishe kweli yako
Sijajua Kama itafanya kazi kwa sababu privacy policy zinabadilika kila baada ya mda fulani
Inawezekana Ila nafahamu kwenye Gmail tu kwa sababu ishawahi kunitokea kwenye account yangu miaka 8 iliyopita Ila inachukua mda mpaka waifungue wajiridhishe kweli yako
Sijajua Kama itafanya kazi kwa sababu privacy policy zinabadilika kila baada ya mda fula
Nsaidie hiyo hiyo nijarbuShida ya unakuta mtu mwingine kaweka recovery phone number ambayo alipopoteza hakuhangaika kurenew, mwaka wa kuzaliwa tarehe na mwezi alijiwekea tu na kasahau hapo inakuwa ngumu kujiridhisha.
Tena siku hizi gmail kuna kitu wameongeza, usipoingia kwenye email yako kwa muda kadhaa kama sio miezi 24 wanafuta email na kila kilichopo ndani.
Mkuu mimi pia nina shida hiyo. Zaidi ya kupoteza namba ya simu niliyoweka data zingine zote ninazo ila nashindwa kuirudisha email.Shida ya unakuta mtu mwingine kaweka recovery phone number ambayo alipopoteza hakuhangaika kurenew, mwaka wa kuzaliwa tarehe na mwezi alijiwekea tu na kasahau hapo inakuwa ngumu kujiridhisha.
Tena siku hizi gmail kuna kitu wameongeza, usipoingia kwenye email yako kwa muda kadhaa kama sio miezi 24 wanafuta email na kila kilichopo ndani.