Msaada wa kusafirisha mzigo huu toka USA

Mr Kazembe

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2019
Posts
386
Reaction score
514
Habari wakuu nina kaka yangu yuko usa anahitaji kunisafirishia computer aina ya imac 2017 inch 21 ila ajui ni njia gani atatumia kunisafirishia naomba njia au hata msaada unaoweza nifanikisha kaka yangu kunisafirishia bidhaa hioo

Inauzito wa pound 12.0(5.44kg)

Mwl.RCT

 
ni njia gani atatumia kunisafirishia naomba njia au hata msaada unaoweza nifanikisha kaka yangu kunisafirishia bidhaa hioo
  • Nitakupa address yangu ya USA, New York.
  • Utampatia naye atatuma huo mzigo, kwa kuwatumia USPS, na utapokelewa NY.
  • Then nitawajibika kuhakikisha mzigo umekufikia mahala ulipo | Mkoani au wilayani ulipo hapa Tanzania.
  • Hakuna malipo yeyote anayopaswa kulipia kabla, utaratibu utafanyika wa kusafirisha na malipo yote yatafanyika Baada ya mzigo kufika nchini wakati wa clearance.
Muhimu ya kujua
  • Gharama ya usafirishaji | inatokana na uzito wa package husika.
  • Mzigo ukifika nchini |Wanaweza dai VAT haijalishi kama ni zawadi ( hivyo ni kufahamu hili mapema).
 
Naomba namba zako za simu inbox
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…