Mr Kazembe
JF-Expert Member
- Mar 24, 2019
- 386
- 514
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni njia gani atatumia kunisafirishia naomba njia au hata msaada unaoweza nifanikisha kaka yangu kunisafirishia bidhaa hioo
Naomba namba zako za simu inboxMuhimu ya kujua
- Nitakupa address yangu ya USA, New York.
- Utampatia naye atatuma huo mzigo, kwa kuwatumia USPS, na utapokelewa NY.
- Then nitawajibika kuhakikisha mzigo umekufikia mahala ulipo | Mkoani au wilayani ulipo hapa Tanzania.
- Hakuna malipo yeyote anayopaswa kulipia kabla, utaratibu utafanyika wa kusafirisha na malipo yote yatafanyika Baada ya mzigo kufika nchini wakati wa clearance.
- Gharama ya usafirishaji | inatokana na uzito wa package husika.
- Mzigo ukifika nchini |Wanaweza dai VAT haijalishi kama ni zawadi ( hivyo ni kufahamu hili mapema).
Nimeandika mawasiliano hapa | Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa |Naomba namba zako za simu inbox