Msaada wa kusafirisha mzigo kutoka Kenya kuja Tanzania

Msaada wa kusafirisha mzigo kutoka Kenya kuja Tanzania

rip faza_nelly

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2018
Posts
5,749
Reaction score
7,038
Nimetumiwa mzigo kutoka US ambao umeenda kushushiwa kenya badala ya tz. Nimetumiwa sms kuwa mzigo umeshafika kenya.
Msaada wa taratibu za jinsi ya kuupata na gharama za kuusafirisha hadi hapa bongo kwa njia ya airport.
Natanguliza shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzigo umekuja kwa njia gani? Posta, EMS, Dhl, feedex au nini.

Kama uliweka adress za Bongo why uende kenya??

Kama shipping adress yako ni Tanzania basi claim mzigo wako uje kwa anuani ambayo umeiainisha
 
Mkuu, post ya juu ni sahihi kabisa!

Kama mzigo umeenda kwa mtu binafsi, basi mwambie tu aitume kwako kama road cargo na kampuni ya mabasi kama Dar Express, Tamheed nk. Akipeleka leo usiku, kesho saa kama hii utaipokea!

Air Cargo ina gharama na formalities nyingi!
 
Back
Top Bottom