Mkuu, post ya juu ni sahihi kabisa!
Kama mzigo umeenda kwa mtu binafsi, basi mwambie tu aitume kwako kama road cargo na kampuni ya mabasi kama Dar Express, Tamheed nk. Akipeleka leo usiku, kesho saa kama hii utaipokea!
Air Cargo ina gharama na formalities nyingi!