Habari zenu wanajamii,
Mimi ni kijana wa kitanzania nlikuwa nahitaji msaada wa jinsi ya kusajili project yangu endelevu kwa ajili ya vijana kujikwamua kiuchumi kutokana na mazingira yanayotuzungua hasa ukitegemea vijana wengi wa leo tumekua tukitegemea zaid ajira kutoka taasisi mbalimbali na sio nkujiajiri wenyewe.
Ntashukuru sana kwa michango na mawazo yenu.
Wenu
Shemndolwa, Kareem