Msaada wa kusajili project

Msaada wa kusajili project

kitomali

Member
Joined
Sep 21, 2012
Posts
43
Reaction score
15
Habari zenu wanajamii,

Mimi ni kijana wa kitanzania nlikuwa nahitaji msaada wa jinsi ya kusajili project yangu endelevu kwa ajili ya vijana kujikwamua kiuchumi kutokana na mazingira yanayotuzungua hasa ukitegemea vijana wengi wa leo tumekua tukitegemea zaid ajira kutoka taasisi mbalimbali na sio nkujiajiri wenyewe.

Ntashukuru sana kwa michango na mawazo yenu.

Wenu
Shemndolwa, Kareem
 
Kama sijakuelewa vile. Unataka kusajili NGO au kampuni.Nijuavyo mimi project hazisajiliwi bali hutekelezwa baada ya kupata vibali husika kutegemeana na aina ya project
 
Back
Top Bottom