baby wa kitaa
Member
- Oct 22, 2013
- 65
- 26
Kwanza usituharibia lugha, ni kusainiwa sio kusigniwa.
Pamoja na kusoma law xul bado unahitaji kuelekezwa kwa advocate? Law xul yenyewe ina waalimu ambao ni advocates kwa zaidi ya miaka hyo mitano, sasa sijui unatafuta nn huku.
Hilo wenge la ku clear aisee!!
umemaliza Mkuu.
wewe unataka utuambie kuwa umefaulu wala hakuna lingine
Kama hujui umfuate wakili nani, bila shaka ulifaulishwa na siyo kufaulu!
wewe unataka utuambie kuwa umefaulu wala hakuna lingine