baby wa kitaa
Member
- Oct 22, 2013
- 65
- 26
bandugu!!baada ya kusota kwa miaka kadhaa kuutafuta uwakili hatimaye mwenyezi mungu amejibu maombi na juhudi zangu!nimefaulu mtihani wangu wa law school!tatizo ni kuwa natakiwa kusigniwa certificate of character na petition na advocate aliyefanya kazi kwa angalau miaka mitano!!!nimfuate nani kwa hilo!bandugu msaada!!