jiwekuu770
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 2,246
- 1,645
Hartford university will be your best shot.Lakini ukija USA unarudia upya.Nitakuibox how you can get the admission .Usa ni nchi nzuri ukifuata Sheria na ukifanya kazi na kutulia
Wana course nzuri ya Radiology 2 years program yaani ukimaliza mwanangu unavuta Kati ya 65,000 - 120000 dollar a year .Trust me
Utaweza if you believeHolly molly! U can't be serious Natalia , that's craazy! Bt inawezekana kweli kwa mtu mwenye background ya arts displines kusoma hiyo kozi!? And how much does it cost kuenroll kwa kozi hiyo ya Radiology!?
Just curious ndugu!?
Hartford university will be your best shot.Lakini ukija USA unarudia upya.Nitakuibox how you can get the admission .Usa ni nchi nzuri ukifuata Sheria na ukifanya kazi na kutulia
Inawezekana mkuu kwa marekani hawanaga complications!Ingekua bongo utaambiwa uwe na MD bases.
miaka mingapi