jiwekuu770
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 2,246
- 1,645
Hivi inawezekana kwenda kusoma Gynacology Kwa mtu aliemaliza degree ya Nursing au BSN Midwifery kama advance ulichukua mchepuo wa PCB?
Nimefocus sana Marekani but hata nchi nyingine poa tu !!Kama kuna mtu aliyeko nje au anafahamu lolote naomba anisaidie.
THANKS GIVING FOR HELPERS.
Nimefocus sana Marekani but hata nchi nyingine poa tu !!Kama kuna mtu aliyeko nje au anafahamu lolote naomba anisaidie.
THANKS GIVING FOR HELPERS.