msaada wa kusoma masters

msaada wa kusoma masters

Lugano5

R I P
Joined
Jul 15, 2010
Posts
4,520
Reaction score
757
kwanza napenda kuwasalimu wanaJF,baada ya salamu napenda kujuzwa na wanaofahamu kuhusu hili,je ukitaka kusoma masters iwe hapa TZ au NJE,kama unataka kufadhiliwa unatakiwa uwe umepata GPA ya kuanzia ngapi baada ya kumaliza degree.
 
Inategemea na mfadhili, wengi wao kuanzia GPA ya 3. Kutokana na competition sana fadhili nyingi zinaanzia 3.5 na kuendelea. Kwa mfano; kuna watu nawafahamu walipata ufadhili wa VLIR scholarships (Belgium) na NUFFIC (uholanzi) walikuwa na GPA chini ya 3. Hata vyuo vya sweden walitangaza lakini hawakusema chochote juu ya GPA. Kuna scholarship israel, Ujerumani, China,Australia na Indonesia niliziona wakasema GPA sio chini ya 3.5

Ushauri wangu: Kama bado upo chuo soma kwa bidii upate above 3.4 itakusaidia kwenye ushindani.
 
Back
Top Bottom