Inategemea na mfadhili, wengi wao kuanzia GPA ya 3. Kutokana na competition sana fadhili nyingi zinaanzia 3.5 na kuendelea. Kwa mfano; kuna watu nawafahamu walipata ufadhili wa VLIR scholarships (Belgium) na NUFFIC (uholanzi) walikuwa na GPA chini ya 3. Hata vyuo vya sweden walitangaza lakini hawakusema chochote juu ya GPA. Kuna scholarship israel, Ujerumani, China,Australia na Indonesia niliziona wakasema GPA sio chini ya 3.5
Ushauri wangu: Kama bado upo chuo soma kwa bidii upate above 3.4 itakusaidia kwenye ushindani.