Msaada wa kutatua shida hii Ajiraportal

Msaada wa kutatua shida hii Ajiraportal

ShukuNundu

Member
Joined
Dec 19, 2020
Posts
10
Reaction score
3
Habari,

kwa anayejua suluhu ya "application failed" kwenye ajiraportal ilihali upo kwenye category sahihi na ulishawahi ku apply awali but for now inagoma mno.

Nani alishapata solution?
 
Kwani washafungua................... tuwajuze?i.e za afya na walimu
 
Habari,

kwa anayejua suluhu ya "application failed" kwenye ajiraportal ilihali upo kwenye category sahihi na ulishawahi ku apply awali but for now inagoma mno.

Nani alishapata solution?
Unaomba fani isiyo yako
 
Habari,

kwa anayejua suluhu ya "application failed" kwenye ajiraportal ilihali upo kwenye category sahihi na ulishawahi ku apply awali but for now inagoma mno.

Nani alishapata solution?

Maana yake huna sifa zinanazo hitajika kwenye nafasi husika! Angalia sifa zinazo hitajika
 
Nashauri (sio lazima) muwe mnasoma mada za wenzanu (kuna alama ya ku-search mkono wa kulia wa kifaa chako unaweza kuandika kitu unachotaka kufahamu) ili muweze kujua watu wengine wanaopitia shida kama yako na kama walipata suluhisho. Maana unakuta kwa wiki unawaelekeza watu 20 kuhusu kitu kimoja tuu.
 
Maana yake huna sifa zinanazo hitajika kwenye nafasi husika! Angalia sifa zinazo hitajika
Na je mbona awamu iliyopita ilikuwa hivi hivi nikajaribu mara kadhaa ikakubali maombi yakaenda vizuri tu kwanini iwe wakati huu nimeomba category hiyo hiyo na kazi hiyo2 mara mbili
 
Nashauri (sio lazima) muwe mnasoma mada za wenzanu (kuna alama ya ku-search mkono wa kulia wa kifaa chako unaweza kuandika kitu unachotaka kufahamu) ili muweze kujua watu wengine wanaopitia shida kama yako na kama walipata suluhisho. Maana unakuta kwa wiki unamuelekeza watu 20 kwa kitu kimoja tuu.
Sawa Asante
 
Asante kwa ushauri nimeufanyia kazi na nimepata thread iliyosolve tatizo hilo. Kiufupi nilijaribu ku-search kbla kabisa ikawa inaniambia error fln siwezi ku search licha ya kuwa logged in. For now imekubali ku-search
 
Thread ipi hiyo tuwekee hapa na sisi tusome tutatue tatizo
 
Follow link
Oyah unatuchosha bhana Kila Uzi unaweka huu upupu wako si ufungue nyuzi moja ieleweke.. Acha unazi basi
 
Thread ipi hiyo tuwekee hapa na sisi tusome tutatue tatizo
Oh thread kuileta hapa cna uwezo ila solution ndo nilii note. Kwa kazi zenye category nyingi ikigoma tu rudi kwenye academic qualifications badili category yako kwenda nyingine. Save rudi kuapply ikishakubali rudi weka category yako ile ile ya zamani ilikokuwa inagoma.
 
Back
Top Bottom