ShukuNundu
Member
- Dec 19, 2020
- 10
- 3
Unaomba fani isiyo yakoHabari,
kwa anayejua suluhu ya "application failed" kwenye ajiraportal ilihali upo kwenye category sahihi na ulishawahi ku apply awali but for now inagoma mno.
Nani alishapata solution?
Hata Mimi uwa inanitokeaga hii kumbe ndio iko hivyo Asante sanaUnaomba fani isiyo yako
Habari,
kwa anayejua suluhu ya "application failed" kwenye ajiraportal ilihali upo kwenye category sahihi na ulishawahi ku apply awali but for now inagoma mno.
Nani alishapata solution?
Hizi za TRAKwani washafungua................... tuwajuze?i.e za afya na walimu
Na je mbona awamu iliyopita ilikuwa hivi hivi nikajaribu mara kadhaa ikakubali maombi yakaenda vizuri tu kwanini iwe wakati huu nimeomba category hiyo hiyo na kazi hiyo2 mara mbiliMaana yake huna sifa zinanazo hitajika kwenye nafasi husika! Angalia sifa zinazo hitajika
Sawa AsanteNashauri (sio lazima) muwe mnasoma mada za wenzanu (kuna alama ya ku-search mkono wa kulia wa kifaa chako unaweza kuandika kitu unachotaka kufahamu) ili muweze kujua watu wengine wanaopitia shida kama yako na kama walipata suluhisho. Maana unakuta kwa wiki unamuelekeza watu 20 kwa kitu kimoja tuu.
Asante kwa ushauri nimeufanyia kazi na nimepata thread iliyosolve tatizo hilo. Kiufupi nilijaribu ku-search kbla kabisa ikawa inaniambia error fln siwezi ku search licha ya kuwa logged in. For now imekubali ku-searchNashauri (sio lazima) muwe mnasoma mada za wenzanu (kuna alama ya ku-search mkono wa kulia wa kifaa chako unaweza kuandika kitu unachotaka kufahamu) ili muweze kujua watu wengine wanaopitia shida kama yako na kama walipata suluhisho. Maana unakuta kwa wiki unamuelekeza watu 20 kwa kitu kimoja tuu.
Anaongelea ajira portal kutoka Secretariat ya ajiraKwani washafungua................... tuwajuze?i.e za afya na walimu
Thread ipi hiyo tuwekee hapa na sisi tusome tutatue tatizoAsante kwa ushauri nimeufanyia kazi na nimepata thread iliyosolve tatizo hilo. Kiufupi nilijaribu ku-search kbla kabisa ikawa inaniambia error fln siwezi ku search licha ya kuwa logged in. For now imekubali ku-search
Oyah unatuchosha bhana Kila Uzi unaweka huu upupu wako si ufungue nyuzi moja ieleweke.. Acha unazi basiHR Tanzania
Kikundi hiki cha HR ni jukwaa la kushiriki Kazi za Sasa, Habari za Ajira kwa watu wa Tanzania. Kanuni:- 1) Hakuna Barua taka & matusi na Ujumbe wa matusi kwa kila mmoja.🚫 2) Hakuna Messages za watu wazima🔞❌ 3) Hakuna tangazo la Cryptot.me
Follow link
Kaingia mjini leo huyo,so anadhani yeye ndiye wa kwanza kuwa na huo ujinga wake anaoutangaza kwenye kila thread.Oyah unatuchosha bhana Kila Uzi unaweka huu upupu wako si ufungue nyuzi moja ieleweke.. Acha unazi basi
Vp nundu upo kada ipi na uliomba nafas ipiHabari,
kwa anayejua suluhu ya "application failed" kwenye ajiraportal ilihali upo kwenye category sahihi na ulishawahi ku apply awali but for now inagoma mno.
Nani alishapata solution?
Oh thread kuileta hapa cna uwezo ila solution ndo nilii note. Kwa kazi zenye category nyingi ikigoma tu rudi kwenye academic qualifications badili category yako kwenda nyingine. Save rudi kuapply ikishakubali rudi weka category yako ile ile ya zamani ilikokuwa inagoma.Thread ipi hiyo tuwekee hapa na sisi tusome tutatue tatizo