Msaada wa kutatua tatizo la enter power save mode kwenye desktop

Magna Carta

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2014
Posts
4,347
Reaction score
6,652
Habari Wataalamu,

Naomba msaada wa kutaua tatizo kwenye desktop baada ya kudisplay maneno ya Enter Power save mode kwenye desktop

Asanteni
 
Huwa linatokea unapokuwa umefungua programs nyingi kwenye RAM, yaani umefanya multitasking. Hata mimi sielewi kwa nini huwa linakimbilia kwenye "power save mode" badala kukimbilia kwenye "RAM save mode". Punguza programs unazofungua kwa wakati mmoja
 
Ndio nilikua naiwasha, Hizo programu nyingi labda ilikua jana maana leo ndio kuiwasha imekataa kuwaka?
 
Kumbe ndiyo ilikuwa ina boot? Washirikishe watu wa hardware.
Ndio ngoja nitafute mtaalamu wa kunisaidia lakini kuna siku tatizo hili liliisha lenyewe
 
Ndio nilikua naiwasha, Hizo programu nyingi labda ilikua jana maana leo ndio kuiwasha imekataa kuwaka?

Ndio ngoja nitafute mtaalamu wa kunisaidia lakini kuna siku tatizo hili liliisha lenyewe
Hiyo itakuwa ni VGA, haipati power ya kutosha. Jaribu pia kuangalia VGA cable yako kama imeingia vizuri kwenye monitor, uhakikishe kuwa haiko loose. Vinginevyo mpelekee fundi wa hardware. Umewahi kubadlisha VGA card kwa hivi karibuni?
 
Yeah nami nimehisi tatizo lipo hapa, maana VGA ipo loose sana, Ngoja nizidi kustudy hili tatizo
 
Source: Entering power save mode problem...Pls Help

Re: Entering power save mode problem...Pls Help

Hi Himanshu_India,

To prevent this from happening follow the below steps:

Click Start button, click Control Panel, click System and Security, and then click Power Options.
On the Select a power plan page, click Change plan settings for the plan that you want to change.
On the Change settings for the plan page, click Change advanced power settings.
On the Advance settings tab, expand Sleep, expand Allow Hybrid Sleep, and choose OFF.
On the Advanced settings tab, expand Sleep, expand Allow wake timers, choose Disable for both when your computer is running on battery and when it's plugged in, and then click OK.
On the Advanced settings tab, expand USB settings, under USB settings expand USB selective suspend settings, choose Disable.
Click Apply and then OK to save the changes.

Check if the above steps work and reply.
 
Back
Top Bottom