S Sambwisi Senior Member Joined Nov 12, 2010 Posts 175 Reaction score 69 Oct 31, 2012 #1 Nimekuwa mpenzi wa achali ya ndimu. Kwa muda mrefu naagiza au nanunua sehemu mbili tofauti jijini Tanga. Leo nimeona niombe msaada hapa JF niweze kutengeneza mwenyewe kwani napata shida ninapoikosa, nami niko Dar. Nasubiri majibu yenu.
Nimekuwa mpenzi wa achali ya ndimu. Kwa muda mrefu naagiza au nanunua sehemu mbili tofauti jijini Tanga. Leo nimeona niombe msaada hapa JF niweze kutengeneza mwenyewe kwani napata shida ninapoikosa, nami niko Dar. Nasubiri majibu yenu.
Gaijin JF-Expert Member Joined Aug 21, 2007 Posts 11,812 Reaction score 5,298 Oct 31, 2012 #2 Mkubwa, kwanza kwa Kiswahili sanifu inaitwa achari. Pili kazi yake si ndogo, maana unatakiwa ukae kitako uchune ngozi ya ndimu moja moja! Ila subiri wataalamu labda wanaweza kuwa na ufundi mwengine zaidi ya niujuao mie 🙂
Mkubwa, kwanza kwa Kiswahili sanifu inaitwa achari. Pili kazi yake si ndogo, maana unatakiwa ukae kitako uchune ngozi ya ndimu moja moja! Ila subiri wataalamu labda wanaweza kuwa na ufundi mwengine zaidi ya niujuao mie 🙂
S Sambwisi Senior Member Joined Nov 12, 2010 Posts 175 Reaction score 69 Nov 1, 2012 Thread starter #3 Gaijin said: Mkubwa, kwanza kwa Kiswahili sanifu inaitwa achari. Pili kazi yake si ndogo, maana unatakiwa ukae kitako uchune ngozi ya ndimu moja moja! Ila subiri wataalamu labda wanaweza kuwa na ufundi mwengine zaidi ya niujuao mie 🙂 Click to expand... Mkuu asante kwa kunielimisha. Achari niliyoitaja ndimu hazichunwi, bali zinatumika zilizokwishaiva toka mtini.
Gaijin said: Mkubwa, kwanza kwa Kiswahili sanifu inaitwa achari. Pili kazi yake si ndogo, maana unatakiwa ukae kitako uchune ngozi ya ndimu moja moja! Ila subiri wataalamu labda wanaweza kuwa na ufundi mwengine zaidi ya niujuao mie 🙂 Click to expand... Mkuu asante kwa kunielimisha. Achari niliyoitaja ndimu hazichunwi, bali zinatumika zilizokwishaiva toka mtini.