Msaada wa kutengeneza achali ya ndimu

Msaada wa kutengeneza achali ya ndimu

Sambwisi

Senior Member
Joined
Nov 12, 2010
Posts
175
Reaction score
69
Nimekuwa mpenzi wa achali ya ndimu. Kwa muda mrefu naagiza au nanunua sehemu mbili tofauti jijini Tanga. Leo nimeona niombe msaada hapa JF niweze kutengeneza mwenyewe kwani napata shida ninapoikosa, nami niko Dar.

Nasubiri majibu yenu.
 
Mkubwa, kwanza kwa Kiswahili sanifu inaitwa achari.

Pili kazi yake si ndogo, maana unatakiwa ukae kitako uchune ngozi ya ndimu moja moja!

Ila subiri wataalamu labda wanaweza kuwa na ufundi mwengine zaidi ya niujuao mie 🙂
 
Mkuu asante kwa kunielimisha.
Achari niliyoitaja ndimu hazichunwi, bali zinatumika zilizokwishaiva toka mtini.
 
Back
Top Bottom