Tatizo la uti mkuu ni kujamiiana2 ,huu ni ugonjwa wa zinaa kama kisonono nk,unajitibu harafu unaludi kulekule kwa Dada kwenye uti mkuu sasa unajiambukiza tena,ni vigumu sana kwa mwanamke kujua kama ana uti ,hivyo nenda nae mkapime nyote mtibiwe nyote,au tumia kondom,Mimi ni doctor edgar