Msaada wa kutibu UTI sugu

Msaada wa kutibu UTI sugu

Lekolele

New Member
Joined
Sep 12, 2016
Posts
2
Reaction score
0
Habar wanagroup la Jf

Mm naomba kujua namna ya kutibu UTI sugu?
 
Tatizo la uti mkuu ni kujamiiana2 ,huu ni ugonjwa wa zinaa kama kisonono nk,unajitibu harafu unaludi kulekule kwa Dada kwenye uti mkuu sasa unajiambukiza tena,ni vigumu sana kwa mwanamke kujua kama ana uti ,hivyo nenda nae mkapime nyote mtibiwe nyote,au tumia kondom,Mimi ni doctor edgar
 
Back
Top Bottom