Msaada wa kutoona hedhi

Msaada wa kutoona hedhi

Joined
Mar 28, 2014
Posts
25
Reaction score
0
Mke wangu mwezi wa tatu haoni siku zake baadatu ya kujichoma sindano za kuzuia mimba ,naomba kujua kunamadhara ?
 
For your Information
Vizibiti mimba vyovyote iwe Vidonge/Sindano na Mengineyo yenye mrengo wa kuzuia Mimba.
Huweza kuzuia mimba katika kipindi kisichopungua takribani 9 mth up to 6years letter.

So kwa mkeo ni mapema mno kushangaa hali hio,Kwani alipokua akichoma sindano hamkuambiwa muda wa hiyo sindano?
 
Kuna sabubu kama tano zinazo sabibisha kutopata hedhi kwa miezi zaidi ya mitatu(secondary armoniear)
1. Ujauzito
2.vizibiti mimba
3.msongo wa mawazo(stress)
4.kupungua uzito
5.homone imbalance/homone sex level
 
Hebu mtoa mada nieleweshe jambo moja: Kwa uelewa wangu wa kifamasia na kemia,zipo siku tano(5) ambazo mwanamke uki... anaweza kupata mimba. Siku nyingine zooote ni zako mnafanya mnachotaka(isipokuwa siku za menstruation) .
Sasa swali langu ni kuwa, ulishindwa kabisa kuvumilia hivo visiku ukaponzwa na matangazo NYOTA YA KIJANI ukachoma sindano... Haya basi,baada ya kumchoma sindando mlikuwa mnafanya kila siku na kila mara?
Mimi ni mfamasia,na mke wangu siwezi mruhusu afanye hivo maana sisi wafamasia tunafahamu athari zake...kama kuongezeka uzito,presha insulin resistance na baadae kisukari.

Tatizo tunawafanya wanawake vyombo vya starehe, wanatufia tunabaki kulea watoto wenyewe.

Nnachokushauri wewe na wengine ni kutumia condom na njia nyingine zisizohisu kuingilia mifumo ya hormone ya mkeo.
Si salama hata kidogo kma inavopigiwa debe na vyombo vya habari.
Kama kweli unampenda,utamlinda.
Mwenye macho na aone na mwenye masikio asikie.
 
Back
Top Bottom