Msaada wa kutuma thread

Msaada wa kutuma thread

Naomba msaada namna ya kutuma thread kwenye jf.

Kama ni kuandika thread mpya inatakiwa uende ktk jukwaa husika mfano jukwaa la michezo, bonyeza neno new ambalo huwa juu kisha andika unachotaka watu wakione.
 
Mkuu Likwanda alichokueleza tekeleza sasa
ni rahisi sana ukishindwa rudi tena uulize.
 
Back
Top Bottom