Kwanza kabisa kulogn inakubali kwa kutumia hizo password na ID walizokupa? Kama inakubali, je umeshacreate third part transfer (not very sure by the name) ? Kama inakataa kulogn wasiliana na CRDB customer care kitengo husika. Kama ulishacreate third part transfer harafu inagoma, angalia muda unaofanya hizo transactions zako then unaweza kujaribu tena baada ya kama masaa 2 wakati mwingine ni system ya CRDB inakuwa down. Angalia pia internet yako unayotumia isijekuwa too slow au link unayologn wasije kuchakachua (I mean the link should be secured, https//...) . Mwisho kabisa, jaribu kuwasiliana na Customer care wa kitengo husika.