Wakuu, nina degree ya ualimu (kwa masomo ya MATHS & IT).
Nimehangaika sana angalau kupata sehemu napoweza kupiga kibarua nipate chochote kitu ila wapi!
Naomba kama kuna mtu anaweza kuniunganisha au kunisaidia kupata job afanye hivyo tafadhali.
Natanguliza shukrani.